UKAMILIFU WA MWANAMKE KATIKA FAMILIA/MAISHA
YA NDOA
Ukamilifu wa mwanamke sio tu kujua aina za mapishi, kutoa penzi, kuwa mwepesi
wakati wa kungonoana, mwenye kulipenda umbile lake zuri alilojaaliwa na Mungu,
usafi na mwenye kuvutia bali pia uwezo
wa kujua kumuwahisha mpenzi hasa kama mpenzi wako ni mmoja kati ya wale
waliojaaliwa kwenda "mwendo mrefu" au kazoea kujizuia na hivyo anashindwa
kujiachia ili awahi kufika kileleni.
Au inawezekana kabisa bao la kwanza kutoka kwa mpenzi wako linakuja haraka (kawaida
kwa wanaume wengi hasa kama anahamu sana) lakini yatakayofuatia yanachukua
"mwaka" hali inayoweza kukufanya usitake kumuona mpenzi wako anakuja
tena na tena....
Unaweza
kujitahidi kumfanyia manjonjo na masham-sham ili anashindwa kujizuia na kumaliza
mapema lakini njemba haifiki walanini.....hii ikitokea
usikate tamaa na kujishtukia kuwa huwezi "game"...."game"
unaiweza ila hujampatia tu......sasa nitakupa mbinu ambayo mwanaume yeyote
hawezi kujizuia ikiwa utazipatia mbinu hizi.
Kumbuka
unapofanya hii mbinu lengo ni wewe na yeye kufurahia hivyo haijalishi ikiwa mtafika wote
au yeye kuanza.........utahisi mchanganyiko wa hisia za raha, furaha, ukamili
kama mwanamke na mapenzi ya dhati kwa mpenzi wako......inategemea zaidi na
unavyolichukulia tendo hili takatifu, kama ni mpenzi wa tendo hili kama mimi
basi utakuwa umenielewa vema.
Mkao-Kama kawaida mkao ni kifo cha mende na mtindo ni mwanamke
chini.....kifo cha mende ni mkao wenye mitindo mingi ambayo haichoshi na
inakuwezesha wewe mwanamke kuwa in control na kuwa huru kumfanyia mume/mpenzi
wako mambo mengi kwa kutumia uke wako kuliko mikao migine.
Si kwa vile nimesema kifo cha
mende basi wewe unakimbilia kitandani na kujilaza chali na
kujipanua.....hapana! Cheza-cheza nae mpe ile inaitwa "stata",
au "hapitaiza" kabla ya mlo kamili (hajalishi ni mzunguuko wa
ngapi)....si unajua kuwa kila bao lina utamu tofauti??
Ili
asijue nia yako ni nini basi unapaswa "kuzuga" na kumlaza yeye pale
kitandani na kuanza kumfanyia "uchunguzi wa kina" kwa kutumia mikono/vidole,
matiti, midomo, ulimi, mashavu ya uke.....na hakikisha unagusa kila kona ya
mwili wake ambayo wewe unajua anapenda kuguswa.
Jitahidi sana kuwa na utaratibu ili
usiharibu mambo, maana mwanaume mwenye utaratibu atakushangaa sana pale
unapofanya makeke mengii bila mpangilio.
Mazingira
ya chumbani, jikoni na chumba cha watoto.
Mwanamke anapaswa kuhakikisha kila siku anapo amka kitanda
chake kiwe safi kwa kuangalia mazingira ya chumba kizima ikiwemo mashuka,
vitaulo vidogo n.k, ukimaliza angalia choo chenu kama ni kisafi na kama unaona
kuna usafi basi safisha maraa moja, kasha angalia jikoni ambapo ndio afya ya
familia nzima inategemea, safisha jiko na kuweka mazingira ya jiko katika hali
ya usafi kabisa.
Sehemu nyingine ni chumbani kwa watoto, endapo una
vyumba tofauti kwa ajili ya watoto unapaswa kuvikagua na kuhakikisha
vinabadilishwa mashuka na kufanyiwa usafi kila siku. Wafundishe pia watoto
kufanya usafi wenyewe katika vyumba vyao hii itasaidia kuwaandaa watoto katika
msingi mzuri wa maisha yao.
Hapa
nimejaribu kuchambua zaidi kwa undani kila sehemu ya nyumba;
Jikoni...
Chumba hiki kinahitaji kua na mwanga wa kutosha kulingana na ukubwa wa jiko.
Unaweza kuweka taa zaidi ya moja kwani husaidia jiko kua safi, usalama etc.
Naomba ijulikane kua chumba hiki kina vitu vya hatari kama jiko, fridge etc... Sasa
basi ukiweka taa za kwenye dari, za ukutani zitakusaidia sana kutoa mwanga
unaohitajika na uta akisi rangi ya ukutani na vyombo vyako ambapo utapata
muonekano mzuri.
Chumba cha kusomea/home office:
Chumba hiki mwanga ni muhimu, kumbuka ni sehemu ya kusomea na kuandika etc.
Sasa mwanga hafifu utaweza kuharibu macho yako. Kama chumba chako hiki ni
kikubwa na deski limewekwa katikati ya chumba, basi socket ya umeme inahitajika
kuwekwa level ya sakafu, kwa juu kidogo ili kusaidia kutokua na nyaya nyingi na
zinakua na mpangilio.
Mwangaza katikati ya desk husaidia kufanya chumba kidogo kuonekana kikubwa.
Bafuni..
Hapa kunahitaji mwanga zaidi ambao utakuwezesha kuona vizuri, lakini pia
mwangaza huo unahitaji kua sawa yaani ukitaka unaweza kupunguza ama
kuongeza, maana siku hizi tunajenga mabafu mazuri ya kisasa, ambayo unaweza
kupumzika pia. Hii ni kwa mara chache inatokana na kuhusishwa na mwanga
ama sakafu ambazo zimewekwa kwa usadi na kwa mpangilio mzuri na huonyesha
umaridadi wake.
Chumba cha kuchezea watoto:
Chumba hiki kinahitaji usalama zaidi, taa ziwe ni za juu ama ukutani, kusiwe na
mrundikano wa vitu, weka taa ambazo mwanga wake unaweza kuupunguza, kuto kuweka
vitu sakafuni ambavyo ni hatarishi. bila kusahau mapazia, pia yanatakiwa kua
yanafungwa vizuri, kuzuia watoto kuchezea maana yanaweza kudondokea watoto.
Chumba cha kulia chakula:
Chumba hiki kinahitajika kua na mwangaza wa wastani. Taa za ukutani, taa za
picha(urembo) za ukutani na taa za mezani ni chaguo lako. Unaweza ukapata
mwanga wa kutosha kuzunguka meza kwa kutumia taa za glopu ndoga ama taa ya
kuning'inia ama zote kwa pamoja
Taa zenye mwanga mdogo huongeza nakshi ya muonekano sehemu ya kulia chakula..
Chumba cha kulala:
Chumba huhitaji mwanga mdogo muda mwingi, japo kua mpangilio mzuri wa taa
unahitajika ili kupata mwanga unaohitajika kwa ajili ya usafi na kufanya
shughuli zingine kama kukunja nguo, kupaki vitu, kuvaa etc. Hii inaweza
kutolewa/kuwezeshwa kwa kuchanganywa kwa taa za ukutani, taa za juu ambazo
zinaweza kua na mwanga hafifu (zinazopunguzika na kuongezeka mwanga) hua na
muonekano wa kuvutia.
Mwanga mzuri wa taa za pembeni ya vitanda (bedside lamp/lights) ni mfano mzuri.
Hii inamaanisha, weka taa ambazo ni maalum kwa kusomea(reading lights/bedside
lamps). waweza weka taa zenye urembo, rahisi kutumia, na zinazodumu na zenye
kuvutia.
NB: Naomba ieleweke kua kabla ya
kununua taa jitahidi sana ujue ina mwaga wa kiasi gani, na kama ina matumizi
gani,... maana unaweza nunua taa ilimradi taa tuuu, kumbuka kuna vyumba havi
hitaji mwanga sana, na kuna vingine vinahitaji mwanga, sehemu kama jikoni,
mwanga ni lazima wa kutosha, kwenye vyumba vya watoto kuchezea, nje etc.... ila
kwa mahali kama chumbani mwanga mwingi hauhitajiki... maana hapa ni sehemu ya
kupumzikia so hakuhitaji sana mwanga, na ninashauri chukua taa ambazo
zinapunguzika mwanga kama nilivyoongea hapo juu. hebu fikiria umerudi umechoka
kazini,halafu unaingia chumbani unawasha taa, mwanga huooooo, si utaumwa na
kichwa wewe jamani? ............
Usafi
Unamaanisha Nini Hasa?
Usafi maana
yake ni kitu au mahali kuwa katika hali ya mpangilio na kuruhusu hewa safi
iweze kupita, wengi wamekuwa wakipuuza swala la usafi kutokana na uchovu au
uvivu, sasa tuchambue tena jambo hili hasa katika suala zima la kitandani na
mambo ya faragha.
USAFI WA CHUMBA
Linaweza
lisionekane kama ni jambo kubwa na muhimu, lakini nataka kuwahakikishia kwamba,
usafi wa chumba ni kati ya vitu muhimu sana vya kuzingatia kabla ya kuingia
faragha na mwandani wako.
Hili ni jukumu la wanawake zaidi, lazima uhakikishe chumba kinakuwa kisafi,
kuanzia mashuka na vitu vingine vilivyomo chumbani. Mpangilio mzuri wa chumba
na usafi kwa ujumla vinamsogeza mwenzi wako karibu zaidi na tukio husika.
Chumba kinapokuwa kichafu, kina harufu mbaya kinapoteza ladha ya kile
kinachotarajiwa kufanywa, hali ambayo inaweza kusababisha mafanikio ya kazi
yenyewe kuwa madogo sana.
PUPA
Kuna baadhi ya wanaume wana tabia ya kuwa na pupa uwanjani. Hii ni kero
kubwa sana. Faragha inahitaji maandalizi, sasa unapoingia uwanjani bila
‘kupasha’ kwanza kwa mazoezi madogo madogo ni wazi timu lazima ifungwe!
KUZUNGUMZIA MAKOSA
Unapoingia
uwanjani halafu utake kifanyike kikao cha usuluhishi juu ya mambo
aliyokufanyia mpenzi wako, ni kosa. Kufanya hivyo, kunapunguza utayari kwa kazi
mnayotarajia kuifanya.
KUTAWALA
Kwa bahati mbaya sana, wanaume ndiyo wamekuwa na tatizo hili zaidi.
Wanakuwa watalawa mchezoni, hawataki maelekezo, wanafanya vile wanavyoona
inafaa. Baadhi yao hawataki wenzi wao waoneshe makeke, jitahidi kumkaba
kimahaba mwanzoni mwa game ili awe anakusikiliza wewe katika uwanja wa mechi.
Wengine huenda mbali zaidi, huwapiga marufuku wenzi wao wasijishughulishe kwa
chochote na inapotokea wakifanya hivyo, huwajia juu wakidai kwamba ni wasaliti
ndiyo maana wakawa wataalamu sana.
UKALI
Rafiki zangu mapenzi ni burudani, sasa unapopeleka ukali katika eneo hilo
unapoteza maana kabisa. Kuwa na lugha tamu, acha maneno makali. Ikitokea kuna
mahali panahitaji maelekezo basi yatoe kwa sauti ya mahaba zaidi na siyo
kelele, lawama na sauti ya juu.
Ukifanya hivyo unampotezea mwenzako msisiko na mwisho utakayokuwa umefanya
yanakuwa kazi bure
KUDHARAU
HISIA ZA MWENZIO
Suala la kusikiliza hisia za mwenzako si ombi, ni kanuni za mapenzi! Utakuta
mwingine anakazana kumfanyia kitu fulani mpenzi wake, akiamini anamfurahisha,
kumbe ni kinyume chake.
Ikiwa mpenzi wako amekueleza wazi kuwa unachokifanya hakimfurahishi, heshimu
hisia zake na ufanye anachokipenda ili mkitoka uwanjani wote muwe mmeridhika.
MANUKATO
MAKALI
Kuna rafiki zangu baada ya kuoga usiku kabla ya kulala, hujipulizia manukato,
jambo hili si sahihi. Unapokuwa faragha na mwenzi wako, epuka kujipulizia
manukato hasa makali.
Inapendeza zaidi kama mkikutana katika eneo hilo, mkiwa na harufu zenu
‘natural’ zaidi kuliko kero ya manukato. Tatizo hili lipo kwa wanawake zaidi.
KUMUACHA NJIANI
Hili ni tatizo kubwa na muhimu kuliko yote, hakuna aibu kama hii rafiki
zangu. Kwa bahati mbaya, wengi huwa hawasemi, lakini madhara yake ni makubwa.
Si rahisi kueleza kila kitu hapa, lakini elewa kwamba kuanza safari pamoja na
mwenzako, halafu njiani unamkimbia na kumuacha porini, ni tatizo kubwa sana
katika uhusiano.
Katika shule tunafundishwa kuwa safi saa
zote. Tunahimizwa kuoga kila asubuhi kabla ya kuja hapa; pia tunaambiwa kupiga
mswaki na kuvaa nguo safi. Kila mwanafunzi anatakikana awe na kucha fupi.
zisizokuwo na uchafu ndani yake Kwani uchafu kama huo unaweza kuingia tumboni
wakati tunapokula chakula bila kutumia vijiko. Hii pia ndiyo sababu tunaambiwa
tutumie vijiko wakati wa kula chakula. Wanafunzi wote ni lazima wachane nywele
zao, na pia kuzikata kila mara zinapokuwa ndefu sana. Mtoto mwenye nywele ndefu
huwa anatisha, wala havutii.
Hata mahali tunapoishi pia panatakikana pawe safi. Hii ndiyo
sababu kila mara asubuhi huwa tunafagia na kuchoma takataka ambazo mara nyingi
huwa zinavutia mainzi ambao nao huleta maradhi ya kuumwa na tumbo. Madarasa pia
hufagiliwa na kunyunyiziwa maji ili yasiwe na vumbi kwani vijidudu vya magonjwa
hujificha katika vumbi kama hilo.
Jambo hili la usafi si la shuleni tu, la! Hata huko nyumbani
ni lazima tuone kwamba kila kitu ni safi kama vile sahani tunazotumia kwa
chakula, vijiko, meza. na kadhalika. Sufuria zinazopikiwa chakula ni lazima
zioshwe kabla ya kuzitumia. Kisha zioshwe tena baada tu ya kuzitumia kwani
zisipooshwa mara moja mainzi huzichafua. Kukiwa kuna chakula mezani ni lazima
kifunikwe ili kisiguswe na wadudu wenye uchafu.
Wakati wa kulala, yapasa tujifunike nguo na hata
ikiwezekana, tutumie chandarua ili tusiumwe na mbu ambao hueneza homa. Pia
walimu hutuambia tufungue madirisha wakati wa kulala ili tuvute hewa iliyo safi
kila wakati kwa sababu mtu akilala katika chumba ambacho hakina hewa safi huvuta
ile hewa chafu ambayo ameitoa yeye mwenyewe naye akiamka hujiona amechoka kama
ambaye alikesha akifanya kazi na hali ametoka kulala tu.
Maswali
1. Ni
mambo gani ambayo twaambiwa tuyafanye kabla ya kuja shuleni?
2. Kucha zikiwa
ndefu hujaa nini?
3. Kwa nini
tunaambiwa tutumie vijiko wwakati wa kula?
4. Nywele za
mwanafunzi zinatakikana ziwe fupi au ndefu? Kwa nini?
5. Kwa nini ni
lazima kufunika chakula kikiwa mezani?
6. Vijidudu
vidogo vya maradhi mara nyingi hujificha wapi?
7. Mtu
aliyelala katika chumba ambacho hakina hewa safi, hujisikiaje wakati akiamka
asubuhi?
8. Mainzi
huenza ugonjwa gani hasa?
9. Kwa
nini ni vizuri kutumia vijiko wakati wa kula?
10. Je,
wewe unfua nguo zako mara ngapi kwa wiki moja?
Masomo ya Msingi, kitabu cha 4, kur. 79-80 [Maandishi asilia yamegeuzwa
kidogo]
USAFI WA
MWILI WA WATOTO NA UMUHIMU WAKE
Makala hii inahusu usafi wa mwili na umuhimu wake kwa watoto. Natumai kuwa
mtanufaika nayo.
Wazazi na walezi wanaweza kuwa na nafasi kuu na muhimu katika makuzi na usafi
wa mtoto, masuala ambayo atakuwa nayo katika maisha yake ya kila siku. Kitendo
cha kumfunza mtoto kuhusu usafi wa mwili ni njia bora kabisa ya kumuepusha na
maambukizo na maradhi mbalimbali. Ni jukumu la mzazi au mlezi kumfunza mtoto
misingi sahihi ya usafi wa mwili wakati mtoto akiwa na umri mdogo kabisa, jambo
ambalo litamsaidia mtoto huyo na familia yake katika maisha yao ya baadaye.
Misingi ya usafi inapaswa kufundishwa na kuwa sehemu moja ya maisha ya kila
siku ya mtu, na pia kuwa njia bora ya wazazi kuwafunza watoto wao kuhusu usafi
wa miili yao, kwanza kabisa kwa wazazi hao kuwa mfano mbele ya watoto.
Maambukizo ya magonjwa hupungua miongoni mwa watoto wakiwa mashuleani, kwenye
maeneo wanayochezea na kadhalika, iwapo watakuwa wamefunzwa namna ya kujilinda
na maradhi kwa kuweka miili yao safi na kwa kufuata kikamilifu kanuni za afya
kila siku. Mambo ya kuzingatia katika usafi wa mwili wa mtoto yako mengi,
lakini hapa nitaorodhesha kwa kifupi haya yafuatayo: Usafi wa Kinywa. Meno na
kinywa vyote vinapaswa kuwa visafi wakati wote ili kuzuia magonjwa ya meno na
fizi. Aidha usafi wa meno kwa mtoto ni muhimu ili kuzuia kuoza na kuvunjika kwa
meno akiwa na umri mdogo. Upigaji mswaki wa mara ka mara, yaani kabla ya
kifungua kinywa na baada ya chakula na kabla ya kulala usiku unashauriwa kwa
watoto. Upigaji mswaki baada ya kula vyakula vyenye sukari pia ni muhimu kwa
watoto, ili kuzuia meno kuoza na harufu mbaya. Pili, uoshaji mikono ni jambo linalopasa
kuzingatiwa sana kwa watoto, baada ya kutoka msalani, kabla ya kula au kushika
takataka au vitu vingine vichafu, kushika wanyama n.k. Kitendo cha kuosha
mikono sio tu ni muhimu kwa watoto, bali hata kwa watu wazima. Uoshaji mikono
ni muhimu kwa ajili ya kuzuia kupatwa na magonjwa mbalimbali, ambayo huweza
kupatikana iwapo kanuni sahihi za usafi wa choo hazizingatiwi. Wakati mtoto
anapofikia umri wa kwenda shuleni au kwenye shule ya chekechea, anatarajiwa
kuwa na uwezo wa kutumia choo na kusafisha mikono yake mwenyewe baada ya kutoka
msalani bila ya kusimamiwa na mtu.
Maambukizo ya fungus za miguuni na kichwani pia yanaweza kuzuilika iwapo
uoshaji mikono sahihi utafuata. Watoto wanapaswa kuosha vizuri mikono yao, yani
kati ya vidole na chini ya kucha, na ikiwezekana tumia brashi kusafisha mikono
ya watoto. Ukaushaji vizuri wa mikono na vidole vile vile ni muhimu ili kuzuia
maambukizo ya fungus. Watoto nao wanapaswa kuelewa umuhimu wa jambo hilo.
Usafi wa mwili unajumuisha pia usafi wa kucha. Wazazi wanapasa kuwakataza
watoto tabia ya kutafuna kucha, kwani kucha za watoto mara nyingi huwa chafu na
rahisi kubeba vijidudu maradhi. Kitendo cha kukata kucha za mtoto kitasaidi
kupunguza kiwango cha vimelea vya maradhi vilivyoko chini ya kucha.
Tukiangalia usafi wa nywele tunaona kuwa, nywele za mtoto zinatakiwa kuwa fupi
kama ni za kuchana na kama ni ndefu zinapaswa kusukwa mara kwa mara na
kusafishwa vizuri kwa kutumia maji na sabuni au shampoo. Hii itasaidia
kupunguza ringworm au chawa wa kichwani iwapo nywele zitakuwa chafu na
kutooshwa vizuri. Watoto pia wanapaswa kushajiishwa kusafisha mikono yao kabla
ya chakula, hii ni kwa sababu kitendo hicho kitasaidia kuzuia maambukizo ya
magonjwa yanayoweza kuathiri mfumo wa chakula, wa kupumua na viungo vingine vya
mwili. Nguo za mtoto pia ni lazima ziwe safi wakati wote , bila ya kusahau
soksi, viatu na mahali anapolala. Mto anatakiwa kuvaa soksi kavu zisizo na
unyevunyevu, ili kuzuia kuzaliana kwa fungus za miguuni. Avae viatu
visivyobana, kama ni msimu wa joto mpatie viatu vilivyo wazi vyenye kupitisha
hewa, mbadilishie mashuka yake anayolalia mara yakichafuka na kukifanya chumba
au mahali anapolalia kuwa mahali safi na salama kwa afya yake. Mtengee mtoto
taulo lake pekee yake, ili kuzuia maambukizo mbalimbali kama vile ya ngozi na
kadhalika. Kwa kufanya hivyo ni matumaini yetu kuwa tutawaepusha watoto wetu na
milipuko mbalimbali ya magonjwa.
Upangaji
mzuri wa chumba cha kulala ni kuweka kitanda katikati. Wengi wetu tumezoea
kukibana kitanda ukutani. Naamini ukiweka kitanda katikati (kama picha
zinavyoonyesha) husaidia kurahisisha kufanya usafi wa chumba kwa kurahisisha
kufagia uvunguni kila unaposafisha pia inafanya hewa izunguke vizuri na
vilevile itakurahisishia kutandika.Kwa ujumla chumba chako kitapendeza.